sw_obs-tq/content/16/18.md

206 B

Kwa nini watu walimwomba Mungu kuwapa mfalme?

Mataifa mengine yote walikuwa na wafalme, nao walitaka mtu wa kuwaongoza katika vita.

Mungu aliwajibu nini maombi yao?

Akawapa mfalme kama walivyoomba.