sw_obs-tq/content/16/16.md

180 B

Gidioni alifanya nini baadaye ilikuwaongoza watu kurudi kwenye ibada ya sanamu?

Alitengeneza vazi maalum la dhahabu ambalo watu wakaanza kuliabudi kana kwamba lilikuwa sanamu.