sw_obs-tq/content/16/13.md

208 B

Gideoni na watu wake waliwaangamiza vipi Wamidiani?

Wakaizunguka kambi ya Midiani, wakavunja sufuria zao ili kufunua miamba yao, na wakapiga pembe zao na kupiga kelele, "Upanga kwa Bwana na kwa Gideoni."