sw_obs-tq/content/16/11.md

257 B

Mungu alimpa Gideoni ishara gani ya ziada ili asiogopa?

Gideoni alimsikia askari wa Midiani akisema juu ya ndoto yake kwamba jeshi la Gideoni litashinda jeshi la Midiani.

Gideoni alifanya nini aliposikia ndoto ya askari wa Midiani?

Alimtukuza Mungu