sw_obs-tq/content/15/06.md

221 B

Wagibeoni waliwafanyia hila Waisraeli kufanya mkataba wa amani pamoja nao?

Walisema wametoka mbali na nchi ya Kanaani

Kwa nini Yoshua na Waisraeli hawakujua Wagibeoni walikuwa wanasema uongo?

Hawakumuuliza Mungu.