sw_obs-tq/content/15/05.md

264 B

Nini kilichotokea wakati askari walpoipiga kelele na makuhani walipopiga tarumbeta?

Ukuta wa Yeriko ulianguka ili Waisraeli waweze kuangamiza kila kitu ndani ya mji.

Nini kilichotokea kwa Rahabu na familia yake?

Hawakuuawa, nao wakawa sehemu ya Waisraeli.