Walizunguka mji siku kwa siku sita, kisha siku ya saba walizunguka mji mara saba zaidi. Walipokuwa wakizunguka mji kwa mara ya mwisho, askari walipiga kelele wakati makuhani walipiga tarumbeta.