sw_obs-tq/content/15/01.md

261 B

Wakati wa kuingia katika Nchi ya Ahadi, Yoshua alifanya nini kwanza

Aliwatuma wapelelezi wawili Yeriko.

Wapelelezi hao waliahidi kufanya nini kwa Rahabu mzinzi?

Waliahidi kumlinda Rahabu na familia yake wakati Waisraeli watakapokuja kuiangamiza Yeriko.