sw_obs-tq/content/14/11.md

201 B

Waisraeli walipotea muda gani jangwani?

Miaka Arobaini.

Mungu aliwapa mahitaji gani Waisraeli wangwani?

Aliwapa 'manna, "alituma makundi ya Kware, alitunza nguo zao na viatu vyao visiharibike.