sw_obs-tq/content/14/05.md

287 B

Je! Wapelelezi kumi na wawili wanasema nini kuhusu nchi ya Kanaani?

Nchi ni yenye rutuba sana na mazao ni mengi.

Kwa nini wapelelezi kumi wanasema Waisraeli wasiwapige watu wa Kanaani?

Wakasema, "Miji ni imara na watu ni mashujaa. Ikiwa tunawashambulia, watatushinda na kutuua!"