sw_obs-tq/content/13/15.md

215 B

Mawe yaliyokuwa na Amri Kumi yalibadilishwa na nini?

Musa aliandika amri Kumi kwenye vibao vipya vya mawe.

Waisraeli walikwenda wapi baada ya Mlima Sinai?

Mungu aliwaongoza Waisraeli kuelekea Nchi ya Ahadi.