sw_obs-tq/content/13/12.md

261 B

Watu walifanya nini walipokuwa wamechoka kwa kumsubiri Musa kurudi kutoka Mlima Sinai?

Walimwomba Haruni kuifanya sanamu ya dhahabu, na kisha wakaabudu na kuweka dhabihu.

Kwa nini Mungu hakuwaangamiza Waisraeli walipomzalau?

Kwa sababu Musa aliwaombea.