sw_obs-tq/content/13/09.md

207 B

Watu wanawezaje kufunika dhambi zao?

Wanaweza kuleta wanyama kwa ajili ya makuhani kutoa dhabihu. Damu ya dhabihu itafunika dhambi zao.

Mungu alimchagua nani kuwa makuhani wake?

Haruni na uzao wake.