sw_obs-tq/content/13/08.md

187 B

Mungu aliwaambia Waisraeli wamjengee nini?

Aliwaambia watengeneze hema ya kukutania.

Nani angeweza kuingia ndani ya chumba nyuma ya pazia ambapo Mungu anaishi?

Ni kuhani mkuu tu.