sw_obs-tq/content/12/07.md

169 B

Mungu alimwambia Musa afanye nini ili kutengeneza njia ya wana Waisraeli kutoroka?

Mungu alimwambia ainue mkono wake juu ya bahari hivyo kwamba maji yangegawanyika.