sw_obs-tq/content/11/06.md

263 B

hawakumuamini Mungu au kutii amri zake

Katika lugha zingine inaweza kuwa ya kawaida au ya wazi kusema, "hawakumuamini Mungu na hivyo hawakuitii amri zake."

hakupita juu

Hakuzipita nyumba zao. Bali alisimama katika kila nyumba na kuua mwana wao wa kwanza.