sw_obs-tq/content/11/03.md

363 B

Watu watawezaje kuwaokoa wazaliwawao wa kwanza?

Walipaswa kuchinja kondoo aliye mkamilifu na kupaka damu kuzunguuka milango ya nyumba zao.

Ni chakula gani cha pekee ambacho Mungu aliwaambia Waisraeli kula na kondoo aliyechomwa?

Mkate uliotengenezwa bila chachu.

Waisraeli walipaswa kuwa tayari kufanya nini wakati wa kula?

Kuwa tayari kuondoka Misri.