sw_obs-tq/content/10/12.md

303 B

Farao alijibu nini baada ya mapigo tisa ya kwanza?

Alikataa kuwaacha watu kuwa huru.

Mungu alifanya nini baada ya Farao kutokukubari mapigo tisa ya kwanza

Mungu alipanga kutuma pigo moja la mwisho.

Pigo la mwisho litafanya nini tofauti na yale tisa ya kwanza?

Litabadilisha mawazo ya Farao.