Hapana. Kulikuwa na giza walipokuwa wanaishi Wamisri, na kulikuwa na mwanga walipokuwa wakiishi Waisraeli.