sw_obs-tq/content/10/01.md

192 B

Ni ujumbe gani wa Mungu ambao Musa na Haruni walimueleza Farao?

"Waruhusu watu wangu waondoke"

Farao alifanya nini aliposikia amri hii?

Aliwahimiza Waisraeli kufanya kazi ngumu zaidi.