sw_obs-tq/content/09/13.md

388 B

Tunajuaje kwamba Mungu alikuwa akiwajali Waisraeli huko Misri?

Mungu akamwambia Musa, "Nimeona mateso ya watu wangu."

Mungu alimtuma Musa kufanya nini kwaajiri ya Waisraeli?

Mungu alimwambia aende kwa Farao na kuwaondoe Waisraeli kutoka utumwani Misri.

Nchi gani Mungu aliyosema angewapatia Waisraeli?

Nchi ya Kanaani, nchi ambayo Mungu aliwaahidi Ibrahimu, Isaka, na Yakobo.