sw_obs-tq/content/09/12.md

297 B

Ni jambo gani lisilo la kawaida ambalo Musa aliloona wakati anachunga kondoo zake jangwani?

Aliona kichaka kilichowaka moto, lakini hakiteketei.

Mungu alimwambia nini Musa akiwa karibu na kichaka kilichowaka?

Mungu akasema, "Musa vua viatu vyako. Ardhi uliyosimama juu yake ni takatifu".