sw_obs-tq/content/08/15.md

202 B

Baada ya kufa Yakobo, ni nani aliyepokea ahadi ambazo Mungu alimpa Abrahamu?

Wana kumi na mbili wa Yakobo.

Je, uzao wa wana kumi na wawil wa Yakobo wakawaje?

Makabila kumi na mawili ya Israeli.