sw_obs-tq/content/08/12.md

361 B

Kabla ya Yusufu kuwaambia kaka zake yeye alikuwa nani, kwa nini aliwajaribu?

Aliwajaribu ili kuona kama walikuwa wamebadilika.

Jinsi gani Mungu alisababisha mema kutoka kwa ndugu zake Yusufu kumuuza yeye kama mtumwa?

Yusufu akawa mtawala mwenye nguvu katika Misri, na Mungu akamtumia kutoa chakula kwa familia yake na watu wengine wengi wakati wa njaa.