Yusufu aliwaambia Wamisri kuhifadhi chakula chakutosha wakati wa miaka saba ya mavuno, kisha akauza chakula kwa watu wakati wa miaka saba ya njaa.