sw_obs-tq/content/08/03.md

154 B

Kaka zake Yusufu walimuelezaje Yakobo juu ya kupotea kwake?

Wanaweka damu ya mbuzi kwenye vazi la Yusefu ili Yakobo afikiri mnyama wa mwitu alimuua.