sw_obs-tq/content/08/02.md

287 B

Kwa nini ndugu zake Yosufu walimchukia?

Kwa sababu Yosufu alikuwa mwana kipenzi wa Yakobo, na kwa sababu Yusufu aliwahi kuota ndoto kwamba yeye atakuwa mtawala wao.

Ni jambo gani baya ambalo Yusufu alitendewa na ndugu zake?

Walimkamata na kumuuza kwa wafanyabiashara wa watumwa.