sw_obs-tq/content/07/10.md

405 B

Je, Esau bado alikuwa na hasira juu ya Yakobo?

Hapana, alikuwa amekwisha msamehe.

Yakobo alijiwekeza wapi kuishi?

Kanani.

Baada ya kifo cha Isaka, ni nani aliyepokea ahadi za agano ambazo Mungu alimpa Abrahamu kwanza?

Yakobo.

kupitia kutoka kwa Isaka kwenda kwa Yakobo

Ahadi zilitoka kwa Ibrahimu kwenda kwa mwanawe Isaka, na sasa kwa Isaka kwenda kwa mwanawe Yakobo. Esau hakupokeaahadi