sw_obs-tq/content/05/10.md

211 B

Mungu aliahidi kumfanyia nini Ibrahimu kwa sababu Ibrahimu amemtii?

Aliahidi kwamba uzao wa Ibrahimu utaongezeka zaidi ya nyota angani, na kwamba familia zote za ulimwengu zitabarikiwa kupitia familia yake.