sw_obs-tq/content/05/02.md

139 B

Jina la mtoto wa Hajiri lilikuwa nani?

Ishmaeli.

Tatizo gani lilijitokeza kati ya Sarai na Hajiri?

Sarai akawa na wivu kwa Hajiri.