sw_obs-tq/content/05/01.md

201 B

Kwa nini Sarai alidhani hawezi kuwa na watoto?

Alikuwa mzee sana.

Sarai alimwambia Abrahamu kufanya nini ili awe na mtoto?

Kumuoa mtumishi wake Hajiri, hivyo Hajiri angeweza kumpatia na mtoto.