sw_obs-tq/content/04/07.md

204 B

Melkizedeki alikuwa nani?

Alikuwa kuhani wa Mungu aliye juu sana.

Melkizedeki alifanya nini kwa Abramu?

Alibariki Abramu.

Abramu alimpa nini Melkizedeki?

Sehemu ya kumi ya vyote alivyo navyo.