sw_obs-tq/content/04/04.md

339 B

Mungu alimwambia Abramu kufanya nini?

Mungu alimwambia Abrahamu kuondoka katika nchi yake na jamaa zake na kwenda nchi nyingine.

Mungu alimuahidi nini Abrahamu?

Aliahidi kumpa Abrahamu nchi yote aliyoweza kuiona, kulifanya jina lake kuwa kubwa, kufanya uwazao wake kuwa taifa kubwa, na kubariki familia zote duniani kupitia kwake.