sw_obs-tq/content/04/01.md

195 B

Baada ya gharika, watu walijaza dunia kama Mungu alivyoamuru?

Hapana. Walikusanyika pamoja na kujenga mji.

Ni lugha ngapi tofauti zilikuepo duniani wakati huo?

Kulikuwa na lugha moja tu.