sw_obs-tq/content/03/06.md

321 B

Ni wanyama gani waliingia ndani ya safina kabla ya gharika?

Mudume na majike wa kila aina ya mnyama, na madume saba na majike saba wa kila aina ya wanyama ambayo inaweza kutumika kwa ajili ya sadaka.

Ni nani aliyefunga mlango wa safina baada ya familia ya Nuhu na wanyama walipo ingia ndani

Mungu alifunga mlango