sw_obs-tq/content/03/03.md

176 B

Mungu alimwambia Nuhu afanye nini?

Atengeneze safina.

Kusudi la mashua ilikuwa nini?

Kumtunza Nuhu, familia yake na kila aina ya wanyama wa ardhini wakati wa mafuriko.